Naunga Mkono Maandamano, Yakiitishwa Nitashiriki – Saed Kubenea (+video)

Mbunge wa jimbo la Ubungo,  Mhe. Saed Kubenea amesema yeye kama Mtanzania yupo tayari kuandamana endapo yatatokea maandamano ya kudai jambo lolote muhimu ndani ya Tanzania kwa sababu ni haki yake ya msingi na kikatiba.

Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Machi 11, 2018 Kubenea amesema amekuwa akisikia mitandaoni kuna watu wanapanga maandamano lakini viongozi serikalini wamekuwa wakiyapinga na kudai kuwa haoni sababu ya serikali kufanya hivyo. Tazama mkutano wake na waandishi wa habari hapa chini:

VIDEO:

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad