Msanii wa bongo fleva nchini Tanzania Emmanuel Elibariki maarufu kama Ney Wa Mitego leo amenusurika kufungiwa kujihusisha na shughuli za mziki ambapo leo aliitwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh, Juliana Shonza na kuhojiwa na kukiri makosa na kuahidi kubadilika