
Ninapokuwa karibu na @wemasepetu Basi mafanikio yanakuwa mengi.... Hivyo wanaoona Ukaribu huu ni Big Ishu wanafeli na Inakua Sio Poa kabisa. Mimi na Wema ni marafiki Tu na Hakuna Uhusiano wa Kimapenzi. .
@diamondplatnumz Afunguka hayo katika #ThePlaylist Ya Times FM
Wewe unamtumia mtoto wa watu ili uzidi kuandikwa kwenye magazeti
ReplyDelete