PICHA: Mwalimu Anaeandika Ubaoni Kwa Kutumia Mdomo

Leo March 14, 2018 stori ninayokusogezea ni kuhusu picha ya Mwalimu mmoja wa somo la Hesabu katika shule ya R/C Addo-Agyiri ambayo imechukua headlines katika mitandao ya kijamii nchini Ghana baada ya kuonekana akiandika ubaoni kwa kutumia meno kwani ni mlemavu wa mikono.

Picha hiyo ilimwonyesha mwalimu huyo aliefahamika kwa jina la Madam Enyonam akiwafundisha  wanafunzi wake somo la Hisabati bila hata kuwa na wasiwasi wala kuhisi kinyaa kuandika kwa kutumia mdomo.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad