Rais Magufuli Awapa Wiki Moja Mawaziri

Rais Magufuli Awapa  Wiki Moja Mawaziri
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametoa wiki moja kuanzia jana kwa Mawaziri kufanyia kazi changamoto na maoni yaliyoibuliwa na wafanyabiashara katika mkutano wa 11 wa Baraza la Taifa la Biashara.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad