''Rais Wafukuze kazi Makonda, Sirro, Nchemba'' BAVICHA

Baraza la Vijana Chadema Taifa ( BAVICHA) linamtaka na kumshauri Rais Magufuli kuwafukuza kazi mara moja Mwenyekiti wa baraza la usalama Jijini Dar es salaam, IGP Sirro na Waziri Mwigulu Nchema kutokana na kutochukua hatua kwa matukio yanayoendelea hapa nchini.

VIDEO:

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kama hao Bavicha wapo serious na hizo kauli zao kwaninni wanakubali kuongozwa na Dikteta Mbowe. Hawaoni kuwa Mwenyekiti wao wa chama ndie mtu hatari zaidi kwa Amani ya Tanzania. Hivyo ulishawahi kumsikia kiongozi yeyote wa Chadema au mbunge au mtumishi yeyote yule anaethubutu kuzungumza madhaifu ya Mbowe? Labda atafanya hivyo baada ya kuamua kuachana na Chadema lakini sio ndani ya Chadema. Sababu gani zianawafanya wanachama wa Chadema kushindwa kukikosoa chama chao na uongozi wao kama tunavyoona kwa baadhi ya wanachama wa CCM wakitoa maoni yao hadharani yawe kuikosoa au mapendekezo? Sababu ni moja tu, Udikteta. Chadema sio chama kinachoendeshwa kwa misingi ya kidemokrasia kutokana na kuwa chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa maisha wa chama. Ambae wanaamini vurugu na kauli za kebehi kwa viongozi wa nchi ndio siasa.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad