Kupitia ukurasa wa instagram wa Ray C ameandika ujumbe huo nakusema
“Ukiona rafiki kakugeuka usije thubutu kuwa nae karibu tena huyo ni zaidi ya nyoka tena bora nyoka ukikutana naye harembi kujifanyisha mzuri kwako anakugonga tu fasta kabla hujamdhuru kuliko anayejifanya kwako mzuri ukigeuka anakun’gon’ga Rafiki Mashwain kibao mjini!☠😈#Chefusikidogo🚶♀️“