Web

Serikali Yawapa Onyo Wakazi wa Mabondeni

Top Post Ad

Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kupitia Mamlaka ya Hali ya Hewa imewaonya kwa mara nyingine wakati wa mabondeni kuchukua tahadhari kufuatia mvua kubwa zinazotabiriwa kunyesha ndani ya mwezi huu kwani zinasababisha mafuriko makubwa.


TMA ilisema mvua zilizoanza jana zinatarajiwa kuongezeka katika baadhi ya maeneo ya kati ya nchi kuanzia leo, hivyo ni vyema wakazi wa mabondeni wakachukua tahadhari ikiwamo kuhama maeneo
hatarishi.

Below Post Ad

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.