Siri imefichuka Kumbe Kifesi Amefukuzwa Kazi na Diamond Platnumz

Baada ya  Kifesi kuandika kupitia Instagram kuwa ameamua aache kazi ya upiga picha WCB, Hatimae dada yake Diamond Platnumz anajulikana kwa jina la Esma Platnumz amesema kuwa kifesi amefukuzwa kazi wala hajaacha kazi kwasababu ya kufatilia mambo ya Bosi wake,  Akasema wao wamemshindwa sembuse yeye mtu baki

Esma Platnumz Ameandika hayo pia kupitia ukurasa wake wa Instagram kama inavyoonyesha kwenye picha hapo juu.....Mambo ni Moto!

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hayo 'mambo ya Bosi wake' ni yapi, yanatia shaka. Msanii balozi wa nchi yetu kama Diamond hapaswi kuwa na 'mambo yake' maana yanalenga kuwa mabaya!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad