Kupitia instagram account ya video vixen Tunda alitumia siku hiyo kuwasihi wanawake wote duniani kuwa na umoja na ushirikiano na kuacha wivu ambao unatokea baina ya wanawake ili kuleta maendeleo.
“Wanawake leo inabidi tushirikiane ili tuweke mfano kwa vizazi vijavyo,Sio mawivu tu na majungu bila mwisho😏 #happywomensday