Tutaanzisha Mitihani Ili Uwe Mtumishi wa Kinondoni Unafanya Ukifaulu Ndio Utaruhusiwa- DC Hapi

Tutaanzisha Mitihani Ili Uwe Mtumishi wa Kinondoni Unafanya Ukifaulu Ndio Utaruhusiwa- DC Hapi
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ali Hapi amesema kuwa “Ili ufanye kazi Kinondoni lazima uwe na akili na kasi ya kuendana na Kinondoni, huko mbele ili uwe mtumishi Kinondoni tutaanzisha mitihani unafanya mtihani ukifaulu ndio utaruhusiwa, ukifeli tutakurudisha huko huko ulikotoka hatutaki watu wasioendana na kasi yetu” – DC Ally Hapi.

DC Hapi ameyasema hayo leo katika Mkutano wa Wajasiliamali wote wa wilaya ya Kinondoni uliofanyika katika Ukumbi wa King Solomoni jijini Dar es salaam.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yes kumbe una akili hila anzia kwa mawazili, then wakuu wa mikoa na wilaya ufuate wakurugenzi wako, ishuke kwa wakuu wa idara ndio uje kwetu sisi wajinga wajinga kama mtavuka salama

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad