Ufafanuzi kutoka Ikulu kuhusu Rais kutengua uteuzi wa Waziri Dr. Kigwangalla

Mkurugenzi wa Mawasilano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa amekanusha taarifa nayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikieleza kuwa Rais Dkt Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Dr. Hamis Kigwangalla

Msigwa amewataka wananchi kuipuuza taarifa hiyo kwani ni uzushi.

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Saini ya Gerson Musigwa na muhuri wa Ikulu vipi?
    Mbona hawajasema kama umeghushiwa au alijichanganya akaandika vibaya!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad