Viatu vya Plastiki Vyafungiwa Nchi za Jumuiya ya Ulaya….Kisa?
0
March 23, 2018
Mahakama Kuu kwenye Umoja wa Nchi za Ulaya Mnamo March 14, 2018 imepiga marufuku rasmi viatu ya plastiki ambavyo kwa Tanzania ni maarufu kama bajaji na hii inamaanisha kuwa bidhaa hiyo kutokuuzwa kabisa katika nchi hizo.
Inaelezwa kuwa design ya viatu hivyo iliibwa na kusambazwa sokoni kabla ya bidhaa hiyo kusajiliwa rasmi, kosa ambalo linatajwa kuwa ni la hati miliki na hata maombi hayo kuchelewa kufanyika kumesababisha maamuzi hayo ya mahakama.
Inaeezwa kuwa viatu hivyo maarufu kama ‘Crocs’ vinamilikiwa na Kampuni moja ya Ufaransa inayoitwa Gifi Diffusion na kampuni hiyo ndio iliyofungua kesi ya kufungiwa design hiyo mwaka 2013 baada kuibwa kwa desin hiyo na kuingizwa sokoni kinyume cha sheria.
Tags