VIDEO: Ebitoke na Bwana Mjeshi Kufuata Nyayo za Diamond


Kundi la Timamu ambalo lina wakali kibao kwa upande wa uchekeshaji kama Ebitoke na Bwana Mjeshi wanatarajia kuachia filamu yao mpya inayokwenda kwa jina la Sema nchini Kenya. Uzinduzi huo utafanyika mwanzoni mwa June mwaka huu.

Wasikilize hapa.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad