Video: Lulu Diva Afunguka Kuhusu Kumtelekeza Mtoto Wake Kijijini

Video: Lulu Diva Afunguka Kuhusu Kumtelekeza Mwanaye Kijijini

Msanii wa Bongofleva Lulu Diva ameendelea kuingia kwenye Headlines na hii ni baada ya kusambaa kwa story kwenye mitandao ya kijamii ya kwamba ana mtoto ambaye amemuacha kijijini kwa muda mrefu na kutokana na kumuacha muda mrefu mtoto huyo amuiti mama ila anamuita Dada.
 
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad