VIDEO: Muna Love Kafunguka kuwa Ameokoka, Apatwa na Kigugumizi Kuhusu Kuzaa na Casto


Muna Love ambaye jina lake ni Rose amezungumza na kusema kuwa yeye ameokoka na mtu aliyesababisha yeye kuokoka ni mwanae Patrick ambaye inasemekana amezaa na mtangazaji wa Clouds Tv Casto Dickson japo hakutaka kuzungumza lolote kuhusu Casto wala kile kinachoendelea kweye mitandao kati ya Casto na Tunda.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad