Video: Nabii Olivia Asikika Akimpanga Muumini Apige Kelele Kuashiria Anatolewa Mapepo

Kweli siku za mwisho zimekaribia, Shuhudia katika Video Nabii Olivia wa Kanisa la Repohim Church amesikika akimpanga muumini apige kelele akiashiria mapepo yanamtoka.

Tazama Video Hapa Chini:



Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kanisa hilo la huyo Olivia lipo wapi? Ni TZ? Je ktk mji gani? Taarifa sahihi zinahitajika kunusuru wengi hasa walio wachanga kiroho lakini wana nia ya kumuishia Mungu wachukue taadhari wasiende kwa Olivia.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad