Watafiti Nchini Marekani Wagundua Robot la Kutengeneza ‘Furnitures’

Watafiti Nchini Marekani Wagundua Robot la Kutengeneza ‘Furnitures’
Watafiti nchini Marekani wameongeza uhodari na shughuli zinazoweza kufanywa na robot, ambapo siku za hivi karibuni roboti  ameongezewa uwezo na sasa anaweza kutengeneza samani za ndani (furniture) jambo linaloaminika kuwa litaongeza usalama.

Timu ya watafiti kutoka Taasisi ya Teknolojia ya Massachusetts’ (MIT) wameongeza uwezo huo wa robot kufanya kazi ya kutengeneza samani, sio kwa maana ya mafundi seremala bali kuwafanya mafundi hao wajikite katika kutengeneza mitindo ya samani hizo.

Inaaminika kuwa teknolojia hii itaongeza usalama kwa kupunguza kesi za mafundi seremala kuumia wakiwa wanatengeneza furniture na kwamba itakuwa ni teknolojia ya bei ya chini.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad