Waziri Mwakyembe: Si Busara kwa Diamond Kushindana na Serikali

Waziri Mwakyembe: Si Busara kwa Diamond Kushindana na Serikali
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo DKt. Harrison Mwakyembe amesema si busara kwa Diamond kushindana na serikali endapo ana ushauri wowote ni vema akauwasilisha kwa njia sahihi na si kumshambulia Naibu Waziri kwa dharua na kejeli.

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wizara ikae meza moja na wadau (wasanii) kutatua tofauti in a friendly manner. Ukweli kila upande unamhitaji mwenzake. Mchango wa pande zote mbili ni muhimu kwa afya ya taifa as a whole including kijamii, kiuchumi na kiutamaduni. Sanaa inahitaji kusimamiwa na ndo maana idara ya Sanaa imeingizwa ndani ya wizara. Pia km wasanii hawapo na kitengo cha Sanaa pia hakitakuwa na wa kusimamiwa.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad