‘Wengine Wamejiteka Wanasingizia Polisi, Wanasema Tuandamane Watakiona’ Naibu Waziri

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, mhandisi Hamad Masauni amezindua vituo Sita (6) vya Polisi vinavyohamishika kutoka eneo moja mpaka jingine vyenye lengo la kusaidia kukabiliana na wimbi la matukio ya uhalifu.

Akizungumza katika uzinduzi huo Eng. Masauni ametoa onyo kwa watu ambao wanataka kuandamana nchi.

VIDEO:

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad