Zitto Kabwe "Rais Anasema, IGP Anasema, Naibu wa Rais (DSM) Anasema, Waziri Anasema. Yote hii ya nini Mbona Mnapanick?"

Ameandika Zitto Kabwe:

"Mkuu wa Polisi anasema. Mkuu wa Majeshi anasema. Mkuu wa Wakuu wa Mikoa ( Naibu Rais 🙄 ) anasema. Waziri anasema. Rais anasema. Taharuki ( panick) yote hii ya nini? Siku chache zijazo mtasikia hapatakuwa na sherehe za Muungano, pesa zitaongezea bajeti ya kuvunja jengo la TANESCO pale Ubungo.

Taharuki ni ishara ya UDHAIFU. Someni Romania https://en.m.wikipedia.org/wiki/Romanian_Revolution na MAPINDUZI yao ya mwaka 1989." Zitto
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Zitto mzito kichwani, kabla hujasema kwa mdomo tafakuri unachotaka kisema kama kina tija kwa taifa. vurugu zikitokea nchi hii wewe waweza kimbilia nje sie wajomba zako wa Buzebazeba tutaenda wapi?

    ReplyDelete
  2. Akinyamaza-mnasema-manyamaza-akisema-mnaita-taharuki..........lipi-jema-katika-nchi-hii????

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad