Nandy baada ya kuvuja kwa video hiyo alikiri kuwa ni yake na kuomba msamaha kwa mashabiki, familia yake na kila mmoja aliyechukizwa na video.
Baada ya kila mmoja kuwa na mawazo tofauti kuhusiana na ishu ya Nandy na Billnass ila Dogo Janja ameamua kumtetea Nandy kwa kuamdika ujumbe huu katika ukurasa wake wa instagram “Asiyekuchoka kwenye shida MUNGU atamlinda zaidi ili mcheke wote kwenye raha.. #MyRichFriend@officialnandy ❤️ #NoBodyIsPerfect“>>> Dogo Janja