Alichokisema Dogo Janja Baada ya Video ya Utupu Iliyovuja ya Nandy na Bill Nass

Alichokisema Dogo Janja Baada ya Video ya Utupu Iliyovuja ya Nandy na Bill Nass
April 12 katika upande wa burudani moja kati ya stori zilizochukua headlines ni kuvuja kwa video clip ikiwaonesha muimbaji Nandy akiwa mapenzini na msanii mwenzake Billnass.

Nandy baada ya kuvuja kwa video hiyo alikiri kuwa ni yake na kuomba msamaha kwa mashabiki, familia yake na kila mmoja aliyechukizwa na video.



Baada ya kila mmoja kuwa na mawazo tofauti kuhusiana na ishu ya Nandy na Billnass ila Dogo Janja ameamua kumtetea Nandy kwa kuamdika ujumbe huu katika ukurasa wake wa instagram “Asiyekuchoka kwenye shida MUNGU atamlinda zaidi ili mcheke wote kwenye raha.. #MyRichFriend@officialnandy ❤️ #NoBodyIsPerfect“>>> Dogo Janja
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad