Anayetuhumiwa Kumuua Marehemu Radio Aomba Msamaha

Ni miezi miwili imepita tokea marehemu Radio afariki February 1, 2018, Radio ambae alikuwa pamoja na Weasel  wakiunda kundi la Goodlyfe kutokea nchini Uganda, msiba wa Radio uligusa watu wengi duniani.

Baada ya Radio kufariki mtuhumiwa Wamala Godfrey alias Troy anayedaiwa kusababisha kifo cha Radio alikimbia na hakuonekana kwa wiki kadhaa lakini baada ya polisi kuendesha msako wa walifanikiwa kumkamata.

Wamala Godfrey alias Troy amekiri kuwa alisababisha kifo cha Radio na kusema kuwa Radio alimponyoka mikononi mwake na kujipigiza kichwa chake chini wakiwa wanapigana haikuwa lengo lake kumuua na hivyo kuomba msamaha ila hadi s
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad