Askofu Kakobe ' Wakovu Wangu Sio wa Dhahabu Bandia...Shitishwi na Mtu'


Askofu Zakaria Kakobe amesema hatikiswi na upepo unaotikisa nyasi. Amewaasa waumini wake wasimame imara kila wanapokumbana na changamoto. Amesema hayo baada ya kuitwa na Idara ya Uhamiaji, Dar es salaam. Ameongeza kuwa hana hofu kwani wokovu wake siyo wa dhahabu bandia.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad