Baada ya JPM Kuitangaza Dodoma Kuwa Jiji Ben Pol Anena Haya

Baada ya JPM Kuitangaza Dodoma Kuwa Jiji Ben Pol Anena Haya
Msanii wa R&B Ben Pol amezungumza baada ya Rais John Pombe Magufuli kuipa Manispaa ya Dodoma hadhi ya Jiji ikiwa msanii huyo anatokea katika mkoa huo wa Dodoma, ambapo Ben Pol amepongeza hilo na kuwashauri wa dau wa muziki kwenda kuwekeza ili kukuza vipaji vipya kwenye game ya bongofleva.

Leo Rais JPM ameutangaza mji wa Dodoma kuwa Jiji wakati alipokuwa akihutubia katika sherehe za Muungano wa Jamuhuri ya Tanganyika na Zanzibar.
Tags

Top Post Ad

Below Post Ad