Breaking News: Mwandishi wa The Guardian Aokotwa Akiwa Hajitambui, Amepigwa Vibaya


DAR: Mwandishi wa gazeti la The Guardian, Finnigan F. Simbeye ameokotwa na wakazi wa Bunju akiwa hajitambui huku akionekana amepigwa sana

Mpaka sasa bado haijafahamika tukio hilo limetekelezwa na watu gani na kwa lengo gani

Kwa taarifa za sasa, Finnigan amefikishwa Hospitali ya Mwananyamala kupata huduma ya haraka kimatibabu
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad