Winnie Mandela, ambaye ni mke wa zamani wa Rais wa Afrika Kusini, Nelson Mandela amefariki leo akiwa na umri wa miaka 81
Mungu ametoa na Mungu ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe...R.I.P Mkombozi wa Africa!
Habari za kuhuzunisha. Pole nyingi kwa familia, ndugu, jamaa, narafiki, na wana Africa wote was a lending, na wapenda haki na usawa pooote ulimwengu. Alikuwa kiungo muhimu wakati wa harakati za ukombozi wa Africa ya kushinikiza. Atakumbukwa daima maana ni vigumu kuielezea historia ya Africa ya kusini bila kumtaja bibi Nomzamo Winnie Madikizela Mandela
Anonymous 19:41 Maneno ya kiingereza yaliingia kwenye comments kwa bahati mbaya. Naomba uyapuuze kwani hayana ujumbe unaoeleweka. Kumradhi kwa kila usumbufu unaoweza tokea
Habari za kuhuzunisha. Pole nyingi kwa familia, ndugu, jamaa, narafiki, na wana Africa wote was a lending, na wapenda haki na usawa pooote ulimwengu. Alikuwa kiungo muhimu wakati wa harakati za ukombozi wa Africa ya kushinikiza. Atakumbukwa daima maana ni vigumu kuielezea historia ya Africa ya kusini bila kumtaja bibi Nomzamo Winnie Madikizela Mandela
ReplyDeleteAnonymous 19:41
ReplyDeleteManeno ya kiingereza yaliingia kwenye comments kwa bahati mbaya. Naomba uyapuuze kwani hayana ujumbe unaoeleweka. Kumradhi kwa kila usumbufu unaoweza tokea