Diamond Kutoka Kulalamika Radioni Hadi Sikioni Kwa Rais


Wiki mbili zilizopita jina la Diamond Platnumz lilipamba vichwa vya habari. Hiyo iliyokana na mahojiano aliyofanya na kituo cha redio cha Times Machi 19 mwaka huu, akimlalamikia Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza kufungia nyimbo za wasanii bila kuzingatia hasara na usumbufu wanaopata.

Lakini Juzi ameonekana Akiteta jambo na Mh Rais... huwenda Kuna mambo makubwa yanakuja kufanyika katika tasnia Ya Bongoflava na sanaa Kwa Ujumla.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad