Dogo Janja Atoa Ushauri Huu kwa Wanawake wa Mjini



Dogo Janja Atoa Ushauri Huu kwa Wanawake wa Mjini
Dogo Janja ameamua kufunguka na kuwapa ushauri wanawake wanaopokea hela kutoka kwa wapenzi wao na kuwataka wawe makini na maisha yao ya baadae na kuwaacha na swali kama wataendelea kupewa hela au kupewa kazi?

Dogo Janja ameandika >>>“Kuna watu wa aina mbili anayekupa hela ya kula na anayekupa kazi upate hela ya kula anaekupa hela ya kula hakutakii mema maisha ya mbeleni siku akikatisha huduma hio utataabika sana ili upate msingi wa kupata hela ya kula. Anayekupa kazi upate hela ya kula”

“Huyu anakupatia msingi mzuri wa maisha yako ya baadae ata asipokuepo hautapata shida ata ukianguka atakupa support sasa uchague upewe hela ama upewe kazi”


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad