Esha Amfunda Mke wa Alikiba Jinsi ya Kuishi na Wabongo "Masikio Weka Pamba Wakikupa Habari Waambie Mbona Najua Mume Alishanambia"

Esha Amfunda Mke wa Alikiba  Jinsi ya Kuishi na Wabongo "Masikio Weka Pamba Wakikupa Habari Waambie Mbona Najua Mume Alishanambia"
Msanii wa filamu Bongo, Esha Buheti amemfunda mke wa Alikiba, Aminah Rikesh Ahmed wakati atakapo kuja Bongo na jinsi ya kuishi na watu wake.

Esha ambaye ni miongoni mwa watu wa karibu wa Kiba ambao wamesafiri mpaka mjini Mombasa kuhudhuria ndoa hiyo, ametumia mtandao wake wa Instagram kumfunda malkia huyo mpya wa Kariakoo.

Kupitia mtandao huo Esha Buheti ameandika:

ALHAMDULILLAH NDOA ISHAPITAA TUKUTANE KWENYE HALL USIKUU….. MASHALLAH MASHALLAH WIFI KARIBU NYUMBANI… UNAPOINGIAA KICHWA INAMISHA CHINI…MASKIOO WEKA PAMBAA…….WAKIKUPA HABARI WAAMBIE MBONA NAJUAA MUME ALISHANAMBIAAAA…..😆😆😆😆

Alikiba amefunga ndoa hiyo alfajiri ya leo April 19 katika msikiti wa Ummu Kulthummjini uliopo mjini Mombasa, Kenya.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad