Hali Yangu si Nzuri Ila Sitaki Kwenda Kutibiwa Nje ya Nchi- Mzee Majuto

Hali Yangu si Nzuri Ila Sitaki Kwenda Kutibiwa Nje ya Nchi
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam, Mussa Kilakala, amemtembelea muigizaji mkongwe nchini, King Majuto, aliyelazwa katika Hospitali ya Tumaini jijini Dar es Salaam, kwa siku mbili akisumbuliwa na tatizo la Nyonga.


King Majuto amemuleza ndugu Kilakala kuwa hali yake si nzuri sana lakini ameshapatiwa tiba ambayo inamhitaji mgonjwa kuwa na subra kwani inachukua miezi mitano na kuendelea kuweza kupona na pia amesema haitaji matibabu nje ya nchi kwani ana imani na tiba inaayotolewa na hospitali za nyumbani.
Tags

Top Post Ad

Below Post Ad