Hizi Ndio Sifa za Wanaume Mashombe Shombe Kwenye Mapenzi

Wanaume shombe shombe ni wanaume mchanganyiko wa kiafrika na rangi nyingine inaweza kuwa ya kizungu, kiarabu au kichina n.k

Nisiwachoshe hizi ndio sifa za wanaume shombe shombe.

Wanajua kujali sana kwenye mapenzi na wana roho nzuri na huruma pia. Shombe shombe wengi dunian wamelelewa na mzazi mmoja tena mama kutokana sababu mbalimbali.

Hivyo kutokana na kulelewa na mama tu wanakuwa wameadapt roho nzuri na wanajua kujali na wana huruma sana kama mama zao.

Wanayajua mapenzi sana. Kutokana na kutembea sehemu tofauti .hivyo wana eksiposha kuhusu mapenzi yanavyokuwa kutoka nchi tofauti walizofika na hatimaye wakipata mpenzi wanamuonyesha upendo wote.

Wanaume mashombe shombe wana upendo wa dhati na hawapendi kuumiza mwanamke. Kutokana na wengi kulelewa na mama tu wamejikuta hawapendi kuumiza mwanamke

Ata 6 kwa 6 wanaume shombe shombe wako vizuri .

Kazi kwenu wadada kuchagua kusuka au kunyoa
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hapo umekosea sana kwani sio mama wote waliowalea mashombe wana huruma kuna mama makatili pia na wapo wengi sana

    ReplyDelete
  2. Si kweli. Hakuna kabila la shombe shombe. Kila aliyechanganya damu mbili ni shombe sasa hawawezi kuwa na tabia zinazofanana

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad