Johari Aamua Kuikimbia Dar Sasa Kufanya Kazi Mikoani

Johari Ahamua Kuikimbia Dar Sasa Kufanya Kazi MikoaniMWIGIZAJI mkongwe Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’, ameamua kulikimbia Jiji la Dar kwa muda ambapo kwa sasa atakuwa anafanyia kazi zake mikoani.

Aki-zun-gumza na Over Ze Wee-kend, Johari alifun-guka kuwa, amejic-himbia mikoani kwa sababu kwa sasa sanaa inaonekana kukua zaidi mikoani na kumuingizia fedha kuliko kuendelea kufanyia jijini Dar.

“Ni kweli muda mwingi ninazunguka mikoani kwa ajili ya kazi. Unajua mikoani sanaa kwa sasa ndiyo inakua kwa kasi na kwa mtu anayejielewa, anaweza kutumia soko hilo kupata pesa kuliko kuendelea kung’ang’ania Dar,” alisema Johari.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad