Julius Mtatiro 'Mpaka Sasa Sijui Kama na Mimi ni Raia au Mkimbizi'

Kutoka na Uhamiaji kuita watu tofauti kuwahoji juu ya Uraia wao , Julius Mtatiro Ameandika haya kuputia Facebook:

"Mpaka sasa sijui kama na mimi ni RAIA au MKIMBIZI! Sijui tunahakiki wapi kabla ya kuitwa! Nachojua,baba yangu alikuwa Mpiganishaji vita ya Uganda, pia babu yangu alisoma darasa moja na Mwl. Kambarage Nyerere. Mengine sijui!"
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bora mkimbizi anaeishi kwa amani kuliko mpinzani matope asieitakia mema nchi yake .

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad