Lunch Time inavyotumiwa na Baadhi ya Wafanyakazi Wanandoa Kuchepuka

Usije ukajidanganya kumuona mumeo au mkeo eti anarudi nyumbani mapema na weekend hatoki ukadhani uko salama.

Sasa hivi ile lunch time kuanzia saa saba mpaka nane huko maofisini ibilisi anakuwa ameshika usukani, ikizingatiwa sasa kuna mahotel mazuri pande kariakoo, manzese, magomeni zile zinakuwa zimejaa ikifika muda huo, Baadhi ya wake za watu na waume za watu wanakuwa wanacheza mechi za kirafiki mchana mchana wakati wa lunch, watch out

Hili halina ubishi
Tags

Top Post Ad

Below Post Ad