Video: Makonda Ajitosa na kwa Wakina Baba Waliotelekezwa "Kama Kuna Kinababa Wametelekezwa Waje Tuwasaidie"

Makonda Ajitosa na kwa Wakina Baba Waliotelekezwa "Kama Kuna Kinababa Wametelekezwa Waje Tuwasaidie"

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amewataka kina baba wote ambao wametelekezwa na kina mama kufika ofisini kwake ili kutoa malalamiko yao ili wapatiwe msaada wa kisheria kama ilivyo kwa kina mama
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad