Mama wa Mtoto Aliyedai Baba yake ni Lowassa Afunguka Makubwa

Baada ya siku ya jana binti mmoja kujitokeza kwa RC Makonda akidai yeye ni mtoto wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa na kuomba kuonganisha na familia ya mzee huyo, Mama wa binti huyo amejitokeza kwa RC Makonda na kuzungumzia kwanini mtoto wake huyo amejitokeza sasa na kueleza kwamba baba yake ni mzee Lowassa.

VIDEO:

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad