Juzikati, Maya aliweka picha ya JB kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuambatanisha na maneno yaliyos-omeka: “We baba wewe sisi tumeku-kosea nini wewe wa kutufanyia vile sisi? Au tuongee humu walimwengu wajue? Haya turudishe kabla ya saa 2 otherwise…”
Maya Afunguka Kumchamba JB
0
April 19, 2018
STAA wa sinema za Kibongo, Mayasa
Mrisho ‘Maya’ amefu-ngikia maneno yake aliyoy-aweka mtandaoni na kuzua
tafrani kuwa amemmchamba mwigizaji mkongwe, Jacob Steven ‘JB’ kuwa watu
wamemuelewa vibaya.
Juzikati, Maya aliweka picha ya JB kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuambatanisha na maneno yaliyos-omeka: “We baba wewe sisi tumeku-kosea nini wewe wa kutufanyia vile sisi? Au tuongee humu walimwengu wajue? Haya turudishe kabla ya saa 2 otherwise…”
Alipoulizwa kuhusu ujumbe huo uliozua
tafrani, Maya alifafanua: “Unajua JB ni baba yetu sisi wote hivyo ile
ilikuwa ni utani tu wa kawaida nilikuwa ninamtania tu kwa hiyo mashabiki
wangu wasidhani kama nilikuwa namaanisha… yule ni baba yetu sisi Bongo
Muvi na tunampenda sana na kumuheshimu,” alisema Maya.