Mechi Kubwa za Simba, Yanga Uchawi Lazima

Mechi Kubwa kama Simb, Yanga Uchawi Lazima
Leo April 25, 2018 kuna hii ya kuifahamu kuhusu Imani za kishirikina (Uchawi) ambapo ni miongoni mwa vitu vinavyotawala katika mchezo wa soka katika nchi mbalimbali.

Ivo Mapunda ni miongoni mwa wachezaji wakongwe waliostaafu katika soka akichezea nafasi ya goli kipa, ambapo anasema katika mechi kubwa kama ya Simba na Yanga hapakosagi Uchawi.

Simba na Yanga wanatarajia kucheza mechi yao April 29,2018 katila Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
Tags

Top Post Ad

Below Post Ad