Mke wa Mwana wa Mfalme wa Uingereza Amejifungua Mtoto wa Kiume

Mke wa Mwana wa Mfalme wa Uingereza Amejifungua Mtoto wa Kiume
Mtoto huyo ambaye atakuwa kitukuu wa sita wa malkia, amezaliwa katika hospitali ya St.Mary iliyopo Lindo Wing huko mjini London .

Hali ya afya ya mama na mtoto inaendelea vizuri .

Ujio wa mtoto wa tatu wa mwana wa Mfalme na mke wake Catherine amezaliwa saa saa saba majira ya Afrika mashariki.

Image caption
Ukoo wa Malkia wa Uingereza
Familia zote wamepata taarifa ya ujio wa mtoto huyo na wanafuraha kwa habari hizo njema.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad