Monalisa, Ray Wapeperusha Vizuri Bendera Wanyakua Tuzo Ghana

Monalisa, Ray Wapeperusha Vizuri Bendera Wanyakua Tuzo GhanaMuigizaji wa filamu nchini Tanzania, Yvonne Cherry maarufu kwa jina la Monalisa ameshinda tuzo ya The African Prestigious Awards (APA) 2017 kwenye kipengele cha Msanii Bora wa Kike barani Afrika.

Tuzo hizo zilizotolewa usiku wa kuamkia leo mjini Accra nchini Ghana ambapo waigizaji wengine kama Ray na Mzee Majuto nao walikuwa nominated kwenye tuzo hizo, ambapo Ray Kigosi pia ameshinda tuzo ya muigizaji bora wa kiume barani Afrika.

Kwa upande mwingine, Mtanzania Moise Hussein ameshinda tuzo hizo kwenye kipengele cha mpiga picha bora barani Afrika kwa mwaka 2017.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad