Msanii Anaye Unda Kundi la Amazing Akiwa na Izzo B Ajifungua Watoto Mapacha

Msanii Anaye Unda Kund la Amazing Akiwa na Izzo B Ajifungua Watoto Mapacha
Msanii wa muziki kutoka kundi la The Amazing, Abela Music amejifungua watoto mapacha.

Muimbaji huyo ambaye anaunda kundi hilo na Izzo Bizness ameweka wazi kuwa amejifungua watoto hao February 22 mwaka huu na kuwapa majina ya Enala na Emmanuel. Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika;

Thank You God for the lives of my babies. My sweethearts, my twins, Enala & Emmanuel – born February 22nd, 2018. May God bless and guide them all the days of their lives.


Hata hivyo hajaweka wazi jina baba mzazi wa watoto wake, ukaribu wake na Izzo ulipelekea watu wengi kuhisi wapo katika mahusiano ya kimapenzi ingawa wote wamekanusha hilo. Kwa kipindi kirefu Abela hakuwepo nchini ambapo Izzo Bizness alieleza kuwa yupo nyumbani kwao Marekani.

SOMA PIA: Job Opportunity at The Norwegian Refugee Council (NRC) - Protection Technical Assistant (Tanzania Nationals Only) - Tanzania

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad