“Mtakuja Kunikumbuka, Zitto Kabwe ni Mpinzani Mzalendo” –Lusinde

Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde amelieleza Bunge kuwa miongoni mwa Wabunge wa Upinzani wenye uzalendo mkubwa ni pamoja na Mbunge wa Kigoma mjini kupitia chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe

“Wapo wapinzani wazalendo, na hili mtakuja kunikumbuka…Zitto wewe ni hazina lakini badili chama, tutamkosa mtu mzuri kwa sababu ya kupoteza muda” –Livingstone lusinde (Kibajaji)
VIDEO:
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad