Mtangazaji huyo amesemwa na watumiaji wa Twitter baada ya kupiga picha na kuiweka kwenye mtandao huo, na ndipo watu walipoanza kumsema wakisema kuwa mtindo wa alivyobana nywele zake hauko kitaalamu.
Hivyo wamemshauri mtangazaji huyo Daheley kuzibana nywele zake vizuri akiwa anatangaza na sio kuzichia, kwani haziendani na misingi ya taaluma yake.