Muda sio Mrefu King of Music wa Tanzania Anaoa Lakini Kinachonisikitisha ni Kweli Aly kiba Hajaona Bongo

Siku zote inajulikana king of music wa bongo hana skendo mbaya anajitahidi sana kuziepuka na sasa king kiba anaoa hivi karibuni
Ameshatoa taarifa kwa watu muhimu muhimu akiwa na mpambe wake ommy dimpoz

Sasa kinachonisikitisha kweli Tanzania nzima hakuna msichana anaejielewa mpaka amehama nchi ameenda kutafuta Kenya
Kweli wasichana wa bongo hapa mmekosa sifa ya kuolewa na king kiba
Hii ni aibu mpaka kijana kama huyu anaenda nje ya nchi kuoa

Dada zetu mjirekebishe jamani au ally kiba kaamua kuwachunia tu
Ay naye nasikia alioa Rwanda huko

Mpunguzeni mapepe wasichana wa Bongo

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HAJAONA ILA KIBA UYO MWANAMKE ULOMPATA VIPI ANAJITAMBU KAMA WEWE UNAVYO JITAMBUA ISIJE IKAWA KAMA RAIS WA WACHAFU MTANGULIZE ALLAH KATIKA KILA JAMBO

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad