Mwanajeshi Aliyeruhiwa na Bomu Sehemu za Siri Apandikizwa Uume

Mwanajeshi Aliyeruhiwa na Bomu Sehemu za Siri Apandikizwa Uume
Timu ya madaktari wa nchini Marekani wamefanikiwa kwa mara ya kwanza kwenye historia kufanya upasuaji wa kupandikiza ‘uume’ kwa mwanajeshi aliyejeruhiwa vibaya sehemu za siri.

Inaelezwa kuwa mwanajeshi huyo alijeruhiwa na bomu nchini Afghanistan. Madaktari walifanikiwa kumpandikiza uume pamoja na mfumo wa uzazi mwingine baada ya kupata viungo hivyo kutoka kwa mfadhili wa viungo aliyefariki.

Majonzi ya Rammy Galis kwenye maziko ya Masogange Mbeya (video)

Madaktari hao wa upasuaji wa Chuo Kikuu cha Johns Hopkins Baltimore, Maryland wameeleza kuwa kutokana na mafanikio ya upasuaji huo mwanaume huyo atapona kabisa na viungo vyake vitaendelea kufanya kazi kama kawaida.
Tags

Top Post Ad

Below Post Ad