MWANAMKE Fatuma ambaye video yake ilisambaa katika mitandao ya
kijamii ikimwonyesha akidai kwam ba amekuwa akimtafuta baba yake tangu
akiwa darasa la sita, amemwomba radhi Waziri Mstaafu, Edward Lowassa kwa
kumdhalilisha.
Fatuma amesema hakutegemea kama ingekuwa hivyo ilivyotokea na kwamba,
jambo hilo linamnyima amani. Pia ameiomba radhi familia ya mwanasiasa
huyo na Watanzania kwa ujumla kutokana na kitendo hicho.
SOMA PIA: Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Leo
Mwanamke Aliyedai Lowassa ni Baba Yake Amemtelekeza Aomba Radhi
0
April 16, 2018
Tags