Mwanamke Aliyedai Lowassa ni Baba Yake Amemtelekeza Aomba Radhi

Mwanamke Aliyedai  Lowassa ni Baba Yake Amemtelekeza Aomba Radhi
MWANAMKE Fatuma ambaye video yake ilisambaa katika mitandao ya kijamii ikimwonyesha akidai kwam ba amekuwa akimtafuta baba yake tangu akiwa darasa la sita, amemwomba radhi Waziri Mstaafu, Edward Lowassa kwa kumdhalilisha.

Fatuma amesema hakutegemea kama ingekuwa hivyo ilivyotokea na kwamba, jambo hilo linamnyima amani. Pia ameiomba radhi familia ya mwanasiasa huyo na Watanzania kwa ujumla kutokana na kitendo hicho.

SOMA PIA: Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Leo

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad