Mwanamke Amuua Mchepuko wa Mume Wake Kisha Kujiua

Binti mmoja nchini Marekani ambaye ni mwanasiasa amepigwa risasi hadi kufa nyumbani kwake Philadelphia na mwanamke mmoja ambaye anaelezwa kuwa mke wa mpenzi wake.  Inaelezwa kuwa mwanamke huyo muuaji anayejulikana kwa Jennair Gerardot, 48, alivamia nyumba ya Meredith Chapman, 33, ambaye anadaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mumewe, kisha kumuua kwa risasi na yeye kujiua kwa risasi pia.  WHO: Malaria bado tishio kubwa kwa nchi za Afrika  Wachunguzi wanasema Bi Gerardot kabla ya kufanya tukio hilo alimtumia mume wake message na kumjulisha kuhusu mpango wake huo wa kulipiza kisasi.
Binti mmoja nchini Marekani ambaye ni mwanasiasa amepigwa risasi hadi kufa nyumbani kwake Philadelphia na mwanamke mmoja ambaye anaelezwa kuwa mke wa mpenzi wake.

Inaelezwa kuwa mwanamke huyo muuaji anayejulikana kwa Jennair Gerardot, 48, alivamia nyumba ya Meredith Chapman, 33, ambaye anadaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mumewe, kisha kumuua kwa risasi na yeye kujiua kwa risasi pia.

Wachunguzi wanasema Bi Gerardot kabla ya kufanya tukio hilo alimtumia mume wake message na kumjulisha kuhusu mpango wake huo wa kulipiza kisasi.
Tags

Top Post Ad

Below Post Ad